Biography


ROBBY ONE FASHION:
Ni maduka ya nguo zakisasa yanayopatikana Jijini Dar es salaam...
Moja wapo ya Duka la Robby One Fashion linapatikana...
Kinondoni kona ya kuelekea Mwananyamala...
Na Duka lingine la pili linapatikana Msasani...

ROBBY ONE FASHION LILIANZISHWA MWAKA 2008:
Duka la Robby One Fashion lilianza kufanya kazi lasmi mwaka 2008...
Ndani ya jiji la Dar es salaam...
Kwakufata bidhaa zake nje ya nchi...

MIKAKATI YA ROBBY ONE FASHION:
Nikuwa na maduka mengi zaidi ya haya yaliyopo sasa...
Kuwa na Duka kila sehemu ya jiji la Dar es salaam...
Ili kuepusha baadhi ya usumbufu kwa wateja wake....

BIDHAA ZINAZOPATIKANA ROBBY ONE FASHION..
T-Shert
Jeans
Perfume
Walet
Belt
Bag
Saa
Viatu aina zote
Miwani za kisasa...
Pete & Cheni...
Kofia
Suti n.k

0 comments: